Young Africans S.C

Timu ya kandanda
(Elekezwa kutoka Young Africans Sc)

Young Africans S.C. (jina kamili ni Young Africans Sports Club) ni timu ya soka ya Nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935 inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Jina la utani ''Yanga''.[1]

Young Africans S.C
Jina la utaniYanga (Swahili)
Imeanzishwa11Feb 1935
UwanjaBenjamin Mkapa National Stadium
(Uwezo: 62,000)
MwenyekitiMshindo Msola
MenejaSenzo Mazingiza
KochaCedric Kaze
LigiTanzania Premier League, Vodacom Premier League
Tovutitovuti ya klabu

Imepata kuwa mabingwa mara 27 nchini na mabingwa mara 5 kombe la mabingwa Afrika Mashariki Kagame.[2]

Katika ngao ya jamii Yanga imeifunga Azam FC kwa jumla ya magoli 8 kwa 7, takribani mara tatu kwa Azam FC kukutana na Yanga katika Ngao ya Jamii na Yanga kumfunga Azam kwenye mechi zote tatu.[3]

WachezajiEdit

Note: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.

Na. Nafasi Mchezaji
1   GK Farouk Shikalo
33   GK Ramadhani Kabwili
24   GK Metacha Mnata
3   DF Bakari Nondo Mwamnyeto
13   DF Adeyum Saleh
24   DF Yassin Mustapha
14   DF Paul Godfrey
15   DF Lamine Moro
23   DF Abdullah Shaibu Ninja
4   DF Said Juma Makapu
15   DF Kibwana Shomari
22   MF Mukoko Tonombe
20   MF zawadi Mauya
66   MF Saidi Ntibazonkiza
8   MF Haruna Niyonzima
27   MF Deus Kaseke
7   MF Mapinduzi Balama
9   FW Fiston Abdul Razak
29   FW Tuisila Kisinda
6   MF Feisal Salumu Toto
11   MF Carlinho
17   MF Farid Mussa
10   FW Yacouba Songne
2   FW Ditram Nchimbi
16   FW Wazir Junior
19   FW Michael Sarpong

Wachezaji wa kigeniEdit

Ligi Kuu ya Tanzania inaruhusu wachezaji wa nje kumi. Yanga kwa sasa wanatumia wachezaji wa kigeni wafuatao:

TanbihiEdit

  1. Young Africans SC - Club profile (en). _. Iliwekwa mnamo 2021-01-02.
  2. Young Africans live score, schedule and results - Football - SofaScore. www.sofascore.com. Iliwekwa mnamo 2021-01-02.
  3. Young Africans News | Goal.com. www.goal.com. Iliwekwa mnamo 2021-01-02.

Viungo vya njeEdit