Yusto El-Antony (1910-1976) alikuwa mmonaki Mkopti. [1] Anaheshimiwa na Kanisa la Kikopti kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Desemba.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "Father Yostos Of Saint Anthony", Pi Monakhos, St Shenouda Monastery. February 8, 2016

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.