Zakayo wa Yerusalemu

Zakayo wa Yerusalemu (alifariki 116/134) kwa asili alikuwa Myahudi[1] akawa askofu wa nne wa Yerusalemu kuanzia mwaka 111 hadi kifo chake[2].

Ramani ya Yerusalemu iliyotengenezwa kama mozaiki huko Madaba.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu[3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Agosti[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.