Zaragoza (matamshi ya Kihispania: θaɾaˈɣoθa; pia: Saragossa[1] kwa Kiingereza[2]) ni mji wa Hispania, makao makuu ya Mkoa wa Zaragoza na ya jumuia ya kujitegemea ya Aragon.

Mji wa Zaragoza

Tarehe 1 Januari 2019 wakazi wake walikuwa 706,904,[3] katika eneo la km² 1062.64, ukiwa wa tano nchini kwa wingi wa watu, na wa 32 katika Umoja wa Ulaya.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "Saragossa". Collins Dictionary. n.d. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 September 2015. Iliwekwa mnamo 26 September 2014.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. Encyclopædia Britannica Zaragoza (conventional Saragossa)
  3. "Zaragoza vuelve a crecer y supera la barrera de los 700.000 habitantes", El Periódico de Aragón, 9 January 2019. (es) 

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

  Zaragoza travel guide kutoka Wikisafiri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Zaragoza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.