Zenobi wa Firenze (Firenze, Italia ya Kati, 337 hivi - Firenze, 417 hivi) alikuwa askofu maarufu wa mji huo, aliyejitahidi kuinjilisha eneo lote la kandokando na kupinga Uario[1].

Sanamu yake mbele ya kanisa la Santa Maria del Fiore, Florence.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Mei[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.