Zoilo wa Cordoba (alifariki Cordoba, 304) alikuwa Mkristo wa Hispania, aliyeuawa pamoja na wenzake 19[1] mwanzoni mwa dhuluma ya kaisari Diokletian [2].

Sanamu yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 27 Juni[3] au 22 Desemba[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/59720
  2. "Feast Days - June". Iliwekwa mnamo 2011-07-07.
  3. Martyrologium Romanum
  4. "Άγιος Ζωΐλος" (kwa Greek). Iliwekwa mnamo 2019-08-10.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.