1509
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 15 |
Karne ya 16
| Karne ya 17
| ►
◄ |
Miaka ya 1470 |
Miaka ya 1480 |
Miaka ya 1490 |
Miaka ya 1500
| Miaka ya 1510
| Miaka ya 1520
| Miaka ya 1530
| ►
◄◄ |
◄ |
1505 |
1506 |
1507 |
1508 |
1509
| 1510
| 1511
| 1512
| 1513
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1509 BK (Baada ya Kristo).
MatukioEdit
Januari–JuniEdit
- 2 Februari – Mapigano ya Diu: Wareno wanaushinda muungano wa Wahindi, Waislamu na Waitalia.
- 21 Aprili – Henry VIII anakuwa Mfalme wa Uingereza (kwa miaka 38) kwa kutokana na kifo cha baba yake, Henry VII.
- 27 Aprili – Papa Julius II anaiwekea Venice vikwazo vya kidini, yaani, isifuate chochote kuhusu Ukatoliki kwa kukataa kutoa sehemu ya Romagna iwe chini ya utawala wa kipapa.
- 14 Mei – Mapigano ya Agnadello: Kiko cha Ufaransa kinawashinda Wavenice.
- 11 Juni
- Henry VIII wa Uingereza anamwoa Bi. Catherine wa Aragon.
- 19 Juni – Chuo cha Brasenose, Chuo Kikuu cha Oxford, kinaanzishwa na mwanasheria, Sir Richard Sutton, wa Prestbury, Cheshire, na Askofu wa Lincoln, William Smyth.
WaliozaliwaEdit
Kalenda ya Gregori | 2021 MMXXI |
Kalenda ya Kiyahudi | 5781 – 5782 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2774 |
Kalenda ya Ethiopia | 2013 – 2014 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1470 ԹՎ ՌՆՀ |
Kalenda ya Kiislamu | 1443 – 1444 |
Kalenda ya Kiajemi | 1399 – 1400 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2076 – 2077 |
- Shaka Samvat | 1943 – 1944 |
- Kali Yuga | 5122 – 5123 |
Kalenda ya Kichina | 4717 – 4718 庚子 – 辛丑 |
WaliofarikiEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu: