Papa Julius II

Papa Julius II (5 Desemba 144321 Februari 1513) alikuwa Papa kuanzia tarehe 1 Novemba 1503 hadi kifo chake.

Papa Julius II.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giuliano della Rovere.

Alimfuata Papa Pius III akafuatwa na Papa Leo X.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Julius II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.