24 (msimu wa 2)
Msimu wa Pili ni mfululizo wa TV wa 24 (p.u.k Siku ya 2) ulianza kurushwa kwa mara ya kwanza mnamo tar. 28 Oktoba 2002 hadi tar. 20 Mei 2003. Msimu huu ulianza na kuishia saa 8:00 asubuhi. Kipengele cha kwanza kina saa zima ikiwa kama kivutio cha biashara.
Msimu wa 2 wa 24 | |
---|---|
Washiriki wa Msimu wa 2 | |
Nchi asilia | Marekani |
Mtandao | Fox Broadcasting Company |
Iko hewani tangu | 28 Oktoba 2002 – 20 Mei 2003 |
Idadi ya sehemu | 24 |
Tarehe ya kutolewa DVD | 9 Septemba 2003 |
Msimu uliopita | Msimu wa 1 |
Msimu ujao | Msimu wa 3 |
Muhtasari wa Msimu
haririMsimu wa Pili (2002–2003) ni seti ya miezi 18 baada ya kutolewa kwa Msimu wa Kwanza. Msimu huu umemkuta Rasi David Palmer akiwa kazini na kachero Jack Bauer akiendelea na kazi zake kuzuia bomu la nyuklia lisije likafyatuliwa mjini Los Angeles. Inakuja na muhusika mpya aitwaye Kate Warner, mwanamama anayeishia kupata habari muhimu zinazohusikana na na shambulio la bomu litakafyatuliwa katika Kitengo cha Kuzuia Ugadi cha Los Angeles (CTU).
Kama jinsi ilivyokuwa katika Msimu wa Kwanza, hi pia imegawanyika katika vifungu viwili:
- Kifungu cha kwanza kinahusisha wana CTU na jaribio lao kuwazuia watu wa Mashariki ya Kati dhidi ya dhamira yao ya kuachia bomu la nyuklia katika Los Angeles.
- Katika kifungu cha pili, Jack, Kate, na kikundi kizima cha CTU kinajaribu kuzuia ukweli wa mambo yasije yakavuja na kujulikana kuwa ni mwenye kuhusika na upatikanaji wa bomu.
Njama za chinichini
hariri- Kim yumbioni, kwa kumwokoa kisichana kidogo kilichokuwa kikinyanyaswa na baba yake.
- Kate Warner anamtuhumu mchumba wa ndugu yake wa Kimashiriki ya Kati kuwa ni gaidi.
- CTU imelipuliwa na bomu ili wasiweze kupata vyanzo vya habari ili washindwe kuzuia mlipuko wa bomu ambao ulipangwa hapo baadaye.
- George Mason, Mkurugenzi wa CTU, anakufa kwa kuvuta hewa ya sumu.
- Jack na hofu binafsi: ahofia kuhusu Kim; kuendelea kwa matatizo yake ya moyo baada ya kuteswa na magaidi.
- Rais Palmer anakabiliana na wasaliti katika Baraza la, ambao wanajaribu kumuondoa madarakani ili waendeleze mipango yao.
- Mahusiano binafsi kati ya Tony Almeida na Michelle Dessler yanaaza kukua.
- Mahusiano kati ya Jack Bauer na Kate Warner yanaanza kukua.
Muhtasari
haririNjama na sababu zilizopelekea kuathiri misimu ya baadaye
hariri- Kufa kwa George Mason.
- Kurudia upya kwa mahusiano kati ya Jack na binti yake.
- Mahusiano yaliyoendelea kati ya Tony Almeida na Michelle Dessler.
- Mahusiano yaliyoendelea kati ya Jack na Kate Warner.
- Mahusiano yaliyoendelea kati ya Jack na Michelle.
- Kufukuzwa kazi kwa Mike Novick kuwa kama mfanyakazi wa David Palmer.
- Jaribio la kutaka kumwua David Palmer.
- Kulipiliwa kwa bomu kwa ofisi za CTU.
- Kukubaliwa kuwa huru kwa Nina Myers.
Wahusika
haririOrodha hii ni wahusika wakuu wa Msimu wa Pili. Tazama orodha hii inaonyesha wahusika wote.
Mastaa
- Kiefer Sutherland kama Jack Bauer
- Sarah Wynter kama Kate Warner
- Elisha Cuthbert kama Kim Bauer
- Penny Johnson Jerald kama Sherry Palmer
- Xander Berkeley kama George Mason
- Carlos Bernard kama Tony Almeida
- Dennis Haysbert kama David Palmer
Wapya
- Reiko Aylesworth kama Michelle Dessler
- Michelle Forbes kama Lynne Kresge
- Jude Ciccolella kama Mike Novick
- Lourdes Benedicto kama Carrie Turner
- John Terry kama Bob Warner
- Francesco Quinn kama Syed Ali
- Laura Harris kama Marie Warner
- Phillip Rhys kama Reza Naiyeer
- Billy Burke kama Gary Matheson
- Daniel Dae Kim kama Tom Baker
- Paul Schulze kama Ryan Chappelle
- Harris Yulin kama Roger Stanton (Wengineo)
- Donnie Keshawarz kama Yusuf Auda
- Randle Mell kama Brad Hammond
- Tobin Bell kama Peter Kingsley
- Mia Kirshner kama Mandy
- Glenn Morshower kama Aaron Pierce
- Sarah Clarke kama Nina Myers
- Kevin Dillon kama Lonnie McRae
Marejeo
haririViungo vya Nje
hariri- TV.com: 24 Season 2 Episode Guide Ilihifadhiwa 1 Mei 2009 kwenye Wayback Machine.