Kim Bauer
Kim Bauer ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika ulichezwa na Elisha Cuthbert.
Kim Bauer | |
---|---|
muhusika wa 24 | |
Elisha Cuthbert kama Kim Bauer | |
Imechezwa na | Elisha Cuthbert |
Hali | Yu hai |
Familia | Jack Bauer, Philip Bauer, Terri Bauer, Graem Bauer, Marilyn Bauer, Josh Bauer |
Misimu | 1, 2, 3, 5, 7 |
Mionekano Mingine | Hamna |
Maelezo |
Katika uhusika
haririKim Bauer alizaliwa mjini Santa Monica, California, mnamo mwaka wa 1987,[1] akiwa mtoto pekee wa Jack na Teri Bauer.
Aliachia mbali masomo katika shule ya Santa Monica High School, lakini ameambulia kadigrii kake cha masuala ya Computer Programming katika chuo maarufu cha Santa Monica College. Halafu baadaye zaidi alijibisha kikazi katika Kitengo cha Kuzuiya Ugaidi cha mjini Los Angeles maarufu kama Counter Terrorist Unit (CTU).[2]
Marejeo
hariri- ↑ Cerasini, Marc (2003). 24: The House Special Subcommittee's Findings at CTU (tol. la First). Harper Collins. ku. 61. ISBN 0-06-053550-4.
- ↑ "FOX Broadcasting Company: 24". FOX 24. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-03-20. Iliwekwa mnamo 2008-07-07.
Viungo vya Nje
hariri- Kim Bauer Photos Ilihifadhiwa 10 Februari 2006 kwenye Wayback Machine. Kim Bauer Photo Gallery on the 24-Archive