24 (msimu wa 3)
Msimu wa Tatu(pia unajulikana kama Siku ya 3) ya mfululizo wa kipindi cha televisheni cha 24 ulioanza kurushwa nchini Marekani mnamo tar. 28 Oktoba 2003 na kipengele cha mwisho kuishia mnamo tar. 25 Mei ya mwaka wa 2004. Kipengele kikubwa kinatembea saa nzima na kilitolewa huria kwa sababu za kiabishara.
Msimu wa 3 wa 24 | |
---|---|
Season 3 Cast | |
Nchi asilia | Marekani |
Mtandao | Fox Broadcasting Company |
Iko hewani tangu | 28 Oktoba 2003 – 25 Mei 2004 |
Idadi ya sehemu | 24 |
Tarehe ya kutolewa DVD | 7 Desemba 2004 |
Msimu uliopita | Msimu wa 2 |
Msimu ujao | Msimu wa 4 |
Mstari wa hadithi ya msimu wa tatu inaanza na kuisha saa 7:00 Mchana.
Muhtasari wa Msimu
haririMsimu wa Tatu unachukua nafasi baada ya miaka mitatu ya matukio yaliyoonekana katika Msimu wa Pili. Njama kuu za msimu huu ni tishio la kigaidi dhidhi ya kutoa silaha za kibiolojia— virusi vilivyokufa katika jiji la Los Angeles—wakati Rais Palmer anatembelea na kushiriki kwenye majadiliano ya kampeni na mpinzani wake mkubwa wa uchaguzi ujao.
Msimu huu unaweza kuvunjika katika vifungu vitatu muhimu kabisa (yote matatu yanahusisha harakati za kuokoa virusi visije vikaachiwa huru katika mji wao):
- CTU wanalazimika kuzuia vitisho vya kigaidi juu kutoa vurusi mjini Los Angeles endapo kama baba la unga Ramon Salazar hajatolewa jela.
- Jack Bauer ni lazima aingilie kati virusi hivyo wakati vinauzwa huko nchini Mexiko.
- Jangili mkuu amejulikana hivyo juhudi za kumzuia asije akaachia virusi hivyo zinafanyika.
Njama za chini
haririWahusika
haririHii ni orodha ya wahusika wakuu wa Msimu wa 3. Tazama orodha hii hapa kwa habari kamili.
Mastaa
- Kiefer Sutherland kama Jack Bauer
- Elisha Cuthbert kama Kim Bauer
- Carlos Bernard kama Tony Almeida
- Reiko Aylesworth kama Michelle Dessler
- James Badge Dale kama Chase Edmunds
- Dennis Haysbert kama Rais David Palmer
Mastaa Wageni Waalikwa
Mkusanyiko Mpya
- James Badge Dale kama Chase Edmunds
- Mary Lynn Rajskub kama Chloe O'Brian
- Jesse Borrego kama Gael Ortega
- Zachary Quinto kama Adam Kaufman
- Paul Schulze kama Ryan Chappelle
- Paul Blackthorne kama Stephen Saunders
- Vanessa Ferlito kama Claudia Hernandez
- Daniel Dae Kim kama Tom Baker
- Greg Ellis kama Michael Amador
- Joaquim de Almeida kama Ramon Salazar
- Vincent Laresca kama Hector Salazar
- D. B. Woodside kama Wayne Palmer
- Randle Mell kama Brad Hammond
- Andrea Thompson kama Dr. Nicole Duncan
- Christina Chang kama Dr. Sunny Macer
- Riley Smith kama Kyle Singer
- Glenn Morshower kama Aaron Pierce
- Sarah Clarke kama Nina Myers
Vipengele
haririMarejeo
haririViungo vya Nje
hariri- Season 3 on 24 Wiki
- TV.com: 24 Season 3 Episode Guide Ilihifadhiwa 20 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine.