Abadir, Iraya na wenzao

Abadir, Iraya na wenzao (walifariki Antinoe, Misri, 206 hivi[1]) walikuwa kaka na dada Wakristo waliofia imani yao pamoja na watu 3686 katika dhuluma ya kaisari Septimius Severus[2][3][4].

Kati ya umati huo kulikuwa na mapadri:

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 25 Septemba, lakini mkatekumeni Iraya (Herais, Rhais, Eraide) hasa tarehe 28 Juni.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. https://catholicsaints.info/saint-rhais-of-alexandria/
  2. https://catholicsaints.info/saint-abadirus-of-antinoe/
  3. The text of their Passion exists in both Sahidic and Bohairic Coptic and fragments can be found at the National Library, Vienna, Wiener Papyrussammlung, K2563 a-l, ed. Orlandi, 1974, the National Library, Paris, Copte 129.16.104 and the Vatican Library, Rome, Copti 63, fols. 1-65, ed. Hyvernat, 1886-1887.
  4. St. Abadir Retrieved on 5 Feb 2018

Marejeo

hariri
  • Holweck, F. G. A Biographical Dictionary of the Saint. St. Louis, MO: B. Herder Book Co. 1924.
  • Orlandi, T. "Ter and Erai, Saints." Claremont Coptic Encyclopedia. Claremont: Claremont Colleges. 1991

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.