Abdel Messih El-Makari

Abdel Messih El-Makari (au: El-Manahri) (11 Novemba 189214 Aprili 1963) alikuwa mmonaki padri wa Kikopti[1].

Anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.[2]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.