Shoro (Acrocephalidae)
(Elekezwa kutoka Acrocephalus)
Shoro | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Jenasi 7:
|
Shoro ni ndege wadogo wa familia Acrocephalidae. Spishi za familia Locustellidae (zamani Megaluridae) zinaitwa shoro pia. Ndege hawa wana rangi ya kahawa au kijivu mgongoni na nyeupe au njano chini. Spishi nyingi huhamia Afrika wakati wa majira baridi huko Ulaya. Spishi za Acrocephalus zinatokea mahali yenye matete, mafunjo au uoto mwingine wa maji katika Afrika, Asia na Ulaya; spishi nyingine hupenda miti au vichaka. Hula wadudu. Hujenga tago lao kwa umbo wa kikombe au kikapu kwa majani na pengine vijiti. Tago la spishi za Acrocephalus limefungiwa mabua ya matete. Jike huyataga mayai 2-6.
Spishi za Afrika
hariri- Acrocephalus arundinaceus, Shoro Mkuu (Great Reed Warbler)
- Acrocephalus baeticatus, Shoro Mhamaji (African Reed Warbler)
- Acrocephalus brevipennis, Shoro wa Kepuvede (Cape Verde Warbler)
- Acrocephalus gracilirostris, Shoro Domo-jembamba (Lesser Swamp Warbler)
- Acrocephalus griseldis, Shoro wa Basra (Basra Reed Rarbler)
- Acrocephalus melanopogon, Shoro Masharubu (Moustached Warbler)
- Acrocephalus newtoni, Shoro wa Newton (Madagascar Swamp Warbler)
- Acrocephalus paludicola, Shoro-maji (Aquatic Warbler)
- Acrocephalus palustris, Shoro-mabwawa (Marsh Warbler)
- Acrocephalus rodericanus, Shoro wa Rodrigues (Rodrigues Warbler)
- Acrocephalus rufescens, Shoro-lambo (Greater Swamp Warbler)
- Acrocephalus schoenobaenus, Shoro Nyusi-nyeupe (Sedge Warbler)
- Acrocephalus scirpaceus, Shoro-matete (Eurasian Reed Warbler)
- Acrocephalus sechellensis, Shoro wa Shelisheli (Seychelles Warbler)
- Acrocephalus stentoreus, Shoro Sauti-kubwa (Clamorous Reed Warbler)
- Calamonastides gracilirostris, Shoronjano Domo-jembamba (Papyrus Yellow Warbler)
- Graueria vittata, Shoro wa Grauer (Grauer's Warbler)
- Hippolais icterina, Shoro Manjano Icterine Warbler)
- Hippolais languida, Shoro Mgongo-kijivu (Upcher's Warbler)
- Hippolais olivetorum, Shoro-mizeituni (Olive-tree Warbler)
- Hippolais polyglotta, Shoro Sauti-nzuri (Melodious Warbler)
- Iduna natalensis, Shoronjano Utosi-mweusi (Dark-capped Yellow Warbler)
- Iduna opaca, Shoronjano Zeituni Magharibi (Western Olivaceous Warbler)
- Iduna pallida, Shoronjano Zeituni Mashariki (Eastern Olivaceous Warbler)
- Iduna similis, Shoronjano-milima (Mountain Yellow Warbler)
- Nesillas aldabrana, Shoro wa Aldabra (Aldabra Brush Warbler) imekwisha sasa (mnamo 1984)
- Nesillas brevicaudata, Shoro wa Ngazija (Grand Comoro Brush Warbler)
- Nesillas lantzii, Shoro wa Lantz (Subdesert Brush Warbler)
- Nesillas longicaudata, Shoro wa Nzwani (Anjouan Brush Warbler)
- Nesillas mariae, Shoro wa Mwali (Moheli Brush Warbler)
- Nesillas typica, Shoro wa Madagaska (Malagasy Brush Warbler)
Spishi za mabara mengine
hariri- Acrocephalus aequinoctialis (Bokikokiko au Christmas Island Warbler)
- Acrocephalus agricola (Paddyfield Warbler)
- Acrocephalus astrolabii (Mangareva Reed Warbler) imekwisha sasa (kati ya karne ya 19?)
- Acrocephalus atyphus (Tuamotu Reed Warbler)
- Acrocephalus australis (Australian Reed Warbler)
- Acrocephalus bistrigiceps (Black-browed Reed Warbler)
- Acrocephalus caffer (Tahiti Reed Warbler)
- Acrocephalus concinens (Blunt-winged Warbler)
- Acrocephalus dumetorum (Blyth's Reed Warbler)
- Acrocephalus familiaris (Millerbird)
- Acrocephalus hiwae (Saipan Reed Warbler)
- Acrocephalus kerearako (Cook Reed Warbler)
- Acrocephalus longirostris (Moorea Reed Warbler) imekwisha sasa (karne ya 19)
- Acrocephalus luscinius (Nightingale Reed Warbler) imekwisha sasa (miaka ya 1960)
- Acrocephalus mendanae (Southern Marquesan Reed Warbler)
- Acrocephalus musae (Garrett's reed Warbler) imekwisha sasa (karne ya 19)
- Acrocephalus nijoi (Aguiguan reed Warbler) imekwisha sasa (karibu 1997)
- Acrocephalus orientalis (Oriental Reed Warbler)
- Acrocephalus orinus (Large-billed Reed Warbler)
- Acrocephalus percernis (Northern Marquesan Reed Warbler)
- Acrocephalus rehsei (Nauru Reed Warbler)
- Acrocephalus rimitarae (Rimatara Reed Warbler)
- Acrocephalus sorghophilus (Speckled au Streaked Reed Warbler)
- Acrocephalus syrinx (Carolinian Reed Warbler)
- Acrocephalus taiti (Henderson Reed Warbler)
- Acrocephalus tangorum (Manchurian Reed Warbler)
- Acrocephalus vaughani (Pitcairn Reed Warbler)
- Acrocephalus yamashinae (Pagan Reed Warbler) imekwisha sasa (miaka ya 1970)
- Arundinax aedon (Thick-billed Warbler)
- Iduna caligata (Booted Warbler)
- Iduna rama (Sykes's Warbler)
Picha
hariri-
Shoro mkuu
-
Shoro mhamaji
-
Shoro domo-jembamba
-
Shoro masharubu
-
Shoro wa Newton
-
Shoro-maji
-
Shoro-bwawa
-
Shoro nyushi-nyeupe
-
Shoro-matete
-
Shoro wa Shelisheli
-
Shoro sauti-kubwa
-
Shoro manjano
-
Shoro mgongo-kijivu
-
Shoro-mizeituni
-
Shoro sauti-nzuri
-
Shoronjano utosi-mweusi
-
Shoronjano zeituni magharibi
-
Shoronjano zeituni mashariki
-
Shoro wa Lantz
-
Shoro wa Madagaska
-
Paddyfield warbler
-
Australian reed warbler
-
Blunt-winged warbler
-
Blyth's reed warbler
-
Nihoa millerbird
-
Thick-billed warbler
-
Booted warbler
-
Sykes's warbler