Ada (lugha ya programu)

lugha ya programu

Ada ni lugha ya programu. Iliundwa na Jean Ichbiah na CII Honeywell Bull na ilianzishwa tarehe 1 Februari 1980. Iliundwa ili kuumba programu na kurahisisha kujifunza lugha za programu. Leo tunatumia Ada 2012: Tucker Taft. Ilivutwa na Pascal.

Ada
Shina la studio namna : namna nyingi

inaozingatiwa kuhusu kipengee

Imeanzishwa Februari 1 1980 (1980-02-01) (umri 44)
Mwanzilishi Jean Ichbiah na CII Honeywell Bull
Ilivyo sasa Ilivutwa na: ALGOL 68, Pascal, C++ (Ada 95), Smalltalk (Ada 95), Modula-2 (Ada 95) Java (Ada 2005), Eiffel (Ada 2012)

Ilivuta: C++, Chapel, "Drago"., Eiffel, "Griffin"., Java, Nim, ParaSail, PL/SQL, PL/pgSQL, Ruby, Seed7, "SPARforte"., Sparkel, SQL/PSM, VHDL

Mahala CII Honeywell Bull
Tovuti https://www.adaic.org

Inaitwa Ada kwa heshima ya Ada Lovelace ambaye alikuwa mwanaprogramu wa kwanza.

Historia

hariri

Ilianzishwa 1 Februari 1980 nchini Marekani. Lakini Jean Ichbiah na CII Honeywell Bull walianza kufanya kazi kuhusu Ada mwaka 1977.

Falsafa

hariri

Namna ya Ada ni namna nyingi na inaozingatiwa kuhusu kipengee kama lugha za programu nyingi.

Sintaksia

hariri

Sintaksia ya Ada ni rahisi sana. Ilivutwa na sintaksia ya Pascal, lugha ya programu nyingine.

Mifano ya Ruby

hariri

Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».

with Ada.Text_IO; use Ada.Text_IO;
procedure Jambo is
begin
  Put_Line ("Jambo ulimwengu !");
end Jambo;

Programu kwa kuumba "package" juu ya Ada.

with Ada.Text_IO;
package body Example is

  i : Number := Number'First;

  procedure Print_and_Increment (j: in out Number) is

    function Next (k: in Number) return Number is
    begin
      return k + 1;
    end Next;

  begin
    Ada.Text_IO.Put_Line ( "The total is: " & Number'Image(j) );
    j := Next (j);
  end Print_and_Increment;

-- package initialization executed when the package is elaborated
begin
  while i < Number'Last loop
    Print_and_Increment (i);
  end loop;
end Example;

Marejeo

hariri