Adamu wa Guglionesi

Adamu wa Guglionesi, O.S.B. (Petazio, leo Petacciato, Molise, 990 hivi – Petazio 1072) alikuwa mmonaki Mbenedikto wa Italia aliyefikia kuwa abati wa monasteri yake, halafu akaenda kuishi upwekeni[1].

Alichangia juhudi za kuunganisha Italia Kusini chini ya Roger II wa Sicilia.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa siku ya kifo chake, tarehe 3 Juni.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.