Afia (pia: Apia) alikuwa mnanamke Mkristo wa karne ya 1 anayetajwa katika barua ya Mtume Paulo kwa Filemoni (Film 1:2), baadaye askofu wa Kolosi, ambaye labda Afia alikuwa mke wake.

Inasemekana walifia dini pamoja.

Tazama piaEdit

  Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Afia kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.