Agapiti wa Palestrina
Agapiti wa Palestrina (Palestrina, 258 - Palestrina 18 Agosti 274 hivi) alikuwa mvulana Mkristo aliyeuawa kwa kukatwa kichwa katika mji huo karibu na Roma, Italia, kwa imani yake[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |