Akasi wa Melitene (370 hivi - 438 hivi) alikuwa askofu wa Melitene, Armenia ya Kale, leo Malatya, nchini Uturuki, kuanzia mwaka 430 hivi hadi alipofukuzwa kwa kupinga uzushi wa Nestori[1].

Picha takatifu ya Mt. Akasi.

Alishiriki mtaguso wa Efeso (431).

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 17 Aprili[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • J. Card. Hergenröther: Acacius. In: Kirchenlexikon. 2. Auflage, Band 1, Sp. 145 f., Freiburg 1882.
  • Winrich Löhr: Akakios v. Melitene. In: Lexikon für Theologie und Kirche. 3. Auflage, Band 1, Sp. 286, Freiburg 1993.
  • Hugo Rahner: Akakios, Bischof v. Melitene. In: Lexikon für Theologie und Kirche. 2. Auflage, Band 1, Sp. 235, Freiburg 1957.
  • Alexios G. Savvides, Benjamin Hendrickx (Hrsg.): Encyclopaedic Prosopographical Lexicon of Byzantine History and Civilization. Bd. 1: Aaron – Azarethes. Brepols Publishers, Turnhout 2007, ISBN 978-2-503-52303-3, S. 104.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.