Aldegunda
Aldegunda (Cousolre, Ufaransa 639 hivi - Maubeuge, Ufaransa, 684 hivi), alikuwa mwanamke aliyeanzisha monasteri pacha na kuziongoza kama abesi chini ya kanuni ya Kolumbani.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu bikira.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Januari[1].
Maisha
haririMtoto wa wazazi wa koo mashuhuri, aliongokea Ukristo akabatizwa alifuatwa na baba yake, ambaye akawa baadaye mtakatifu Walbert. Pia mama yake Bertila na dada yake Vatrude[2][3] ni watakatifu[4].
Baada ya kukataa kuolewa, alitawa[5].
Alivumilia kwa ushujaa maumivu ya saratani ya matiti ambayo ikaja kumuua[6].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ article in Archéologie (March 2003), n° 398, p. 7
- ↑ Saint of the Day, January 30: Aldegundis of Maubeuge Ilihifadhiwa 25 Februari 2020 kwenye Wayback Machine. SaintPatrickDC.org. Retrieved 2012-03-06.
- ↑ Aline Hornaday, "Toward a Prosopography of the "Maubeuge Cycle" Saints", Prosopon Newsletter, 1996 on-line text Ilihifadhiwa 17 Januari 2021 kwenye Wayback Machine..
- ↑ Thurston, Herbert. "St. Aldegundis." The Catholic Encyclopedia Vol. 1. New York: Robert Appleton Company, 1907. 30 May 2016
- ↑ "Butler's Lives of the Saints, 1864". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-06. Iliwekwa mnamo 2020-04-25.
Viungo vya nje
hariri- Saint of the Day, January 30: Aldegundis of Maubeuge Ilihifadhiwa 25 Februari 2020 kwenye Wayback Machine. at SaintPatrickDC.org
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |