Aleppo (kwa Kiarabu: ﺣﻠﺐ, Ḥalab) ni jiji la Syria ambalo kabla ya vita vya wenyewe kwa wenyewe lilikuwa na wakazi milioni 4.6 (2010)[1]. Kwa sasa si tena mji mkubwa na nchi, bali wa pili baada ya mji mkuu, Damascus.

Mji wa kale
al-Madina Souq
Msikiti mkuu • Baron Hotel
Kanisa kuu la Mt. Elia • Mto Queiq
Aleppo wakati wa usiku

Aleppo ni kati ya miji ya zamani zaidi duniani, akikaliwa tangu milenia ya 6 KK.[2] labda kutokana na biashara kati ya Mediteranea na Mesopotamia.

Mji wa Kale umo katika orodha ya urithi wa dunia ya UNESCO.

Tanbihi

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-17. Iliwekwa mnamo 2018-06-05.
  2. Columbia Encyclopedia, Sixth Edition (2010)

Viungo ya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

  Aleppo travel guide kutoka Wikisafiri

36°13′N 37°10′E / 36.217°N 37.167°E / 36.217; 37.167

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aleppo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.