Alisson Becker

(Elekezwa kutoka Alisson)

Alisson Ramses Becker (anayejulikana sana kama Alisson; alizaliwa 2 Oktoba 1992) ni mchezaji wa soka wa Brazili ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Liverpool FC na timu ya taifa ya Brazili.

Alisson
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaBrazil Hariri
Nchi anayoitumikiaBrazil Hariri
Jina katika lugha mamaAlisson Hariri
Jina la kuzaliwaÁlisson Ramsés Becker Hariri
Jina halisiAlisson Hariri
Jina la familiaBecker Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa2 Oktoba 1992 Hariri
Mahali alipozaliwaNovo Hamburgo Hariri
NduguMuriel Gustavo Becker Hariri
Mwenzimarried Hariri
Lugha ya asiliKireno Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKireno, Kiingereza, Kiitalia Hariri
Writing languageKireno, Kiingereza Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timugoalkeeper Hariri
Eneo la kaziLiverpool Hariri
Muda wa kazi2013 Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoLiverpool F.C. Hariri
DiniKanisa Katoliki Hariri
Eye colorbrown Hariri
Rangi ya nyweleblack hair Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji1, 19, 22 Hariri
AmeshirikiCopa América Centenario, Kombe la Dunia la FIFA 2018, 2019 Copa América, 2021 Copa América, Kombe la Dunia la FIFA 2022 Hariri
Tuzo iliyopokelewaThe Best FIFA Goalkeeper Hariri
Alisson akiwa golini na timu yake ya taifa

Alisson alianza kazi yake na Internacional, ambapo alicheza mechi zaidi ya 100 na alishinda Campeonato Gaúcho katika kila msimu. Mnamo mwaka 2016, alihamia AS Roma kwa dau la milioni 7.5.

Mnamo Julai 2018, Alisson alijiunga na Liverpool kwa ada ya milioni 62.5, ambayo iliweza kuongezeka kuwa euro milioni 72.

Alisson aliiwakilisha Brazili katika viwango mbalimbali vya vijana kabla ya kuanza mwanzo wake wa kimataifa mwaka 2015 ambapo baadae aliliwakilisha taifa lake katika Copa América Centenario mwaka 2016 na Kombe la Dunia la FIFA 2018.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alisson Becker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.