Alois Bertran O.P. (Valencia, 1 Januari 1526 - Valencia, 9 Oktoba 1581) alikuwa padri mtawa wa Shirika la Wahubiri kutoka Hispania, aliyefanya umisionari miaka 7 huko Kolombia na nchi za jirani alipotetea haki za Waindio dhidi ya wakoloni na kuwaongoa 150,000 kwa msaada wa miujiza mingi [1][2].

Alivyochorwa na Francisco de Zurbarán akiwa na mavazi ya Kidominiko.

Alitangazwa na Papa Paulo V kuwa mwenye heri tarehe 19 Julai 1608, halafu Papa Klementi X alimtangaza mtakatifu tarehe 12 Aprili 1671.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Oktoba[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Wilberforce, The Life of St. Louis Bertrand (London, 1882)
  • Touron, Histoire des Hommes Illustres de l'Ordre de Saint Dominique (Paris, 1747), IV 485-526
  • Roze, Les Dominicains in Amérique (Paris, 1878), 290-310
  • Byrne, Sketches of illustrious Dominicans (Boston, 1884), 1-95.

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.