Ambrosi wa Aleksandria

Ambrosi (kabla ya 212 - Aleksandria, Misri, 250 hivi) alikuwa shemasi wa mji huo aliyefungwa kwa ajili ya imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Maksimini.

Mtu tajiri, alimsaidia Origen kwa mali yake[1] baada ya kuacha mafundisho ya Gnosis[2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Machi[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.