Anatolia na Viktoria

Anatolia na Viktoria (walifariki katika eneo la Lazio ya leo, Italia, 250 hivi) walikuwa wasichana Wakristo waliouawa kutokana na imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Decius[1][2].

Anatolia na Viktoria katika maandamano ya mabikira na wafiadini. Mozaiki ya karne ya 6 katika Basilica di Sant'Apollinare Nuovo, huko Ravenna.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao ni tarehe 10 Julai[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.