Andrea, Yohane, Petro na Antoni
Andrea, Yohane, Petro na Antoni (walifariki 890 hivi) walikuwa Wakristo wa mji wa Siracusa (Sicilia, Italia) waliotekwa na Waislamu tarehe 21 Machi 878 na kupelekwa Afrika.
Kwa kuwa walikataa muda mrefu kusilimu, waliteswa kikatili na kuuawa kwanza Antonio na Petro, halafu Yohane, baba yao, na miaka ya baadaye Andrea pia[1].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki kama watakatifu.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 23 Septemba[2].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |