Andrea Kalibita (Krete, Ugiriki, karne ya 8 - Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 767) alikuwa mmonaki mwenye maisha magumu sana tangu ujanani, ambaye alidhulumiwa na hatimaye kuuawa na kaisari Konstantino V kwa sababu ya kuheshimu picha takatifu[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Oktoba[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.