Anjela wa Msalaba

Anjela wa Msalaba (jina la awaliː María de los Ángeles[1] Guerrero y González, Sevilia, Hispania, 30 Januari 1846 - Sevilia 2 Machi 1932) alikuwa sista mwanzilishi wa shirika la Masista wa Msalaba ambalo ndani ya Kanisa Katoliki linahudumia mafukara na wagonjwa waliosahaulika kabisa.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 5 Novemba 1982 na mtakatifu tarehe 4 Mei 2003.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Ángela de la Cruz Guerrero González (1846–1932). Vatican New Service. Iliwekwa mnamo 2012-04-11.
  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anjela wa Msalaba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.