Antoni Kauleas (Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, karne ya 9 - Konstantinopoli, 1 Februari 901), alikuwa Patriarki wa Konstantinopoli tangu mwaka 893 hadi 901.

Mmonaki tangu utotoni, halafu padri na abati, alifaulu kumaliza farakano la Fosyo na kurudisha umoja wa Kanisa[1].

Anaheshimiwa tangu kale na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Februari[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.