Arnulfo wa Gap, O.S.B. (kwa Kifaransa: Arnoux; Vendome, karne ya 11 - Gap, 1079 hivi) alikuwa mmonaki Mbenedikto, halafu askofu[1] wa mji huo, leo kusini mwa Ufaransa, ambaye alijitahidi sana kurudisha nidhamu katika maisha ya jimbo lake [2].

Mt. Arnulfo alivyochorwa.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Septemba[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Hanne, La genèse médiévale d'une figure de l'épiscopat de Gap : saint Arnoux, pp. 2-4.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/70800
  3. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.