Arseni wa Armo (Reggio Calabria, mkoa wa Calabria, Italia, 810Armo, karibu na Reggio Calabria, 15 Januari 904) alikuwa padri mkaapweke wa Ukristo wa Mashariki aliyeng’aa kwa sala na ugumu wa maisha pamoja na karama za ajabu[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Tarehe ya kifo chake ndiyo sikukuu yake kwa Wakatoliki[2], lakini Waorthodoksi wanamheshimu tarehe 18 Mei.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Nicola Ferrante, Santi italogreci. Il mondo religioso bizantino in Calabria, Roma, 1992.
  • Domenico Megalizzi, Armo. Casale e parrocchia di antica fondazione, Reggio Cal., 2001.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.