Asisklo (alifariki Cordoba, 304) alikuwa Mkristo wa Hispania, aliyeuawa pamoja na wenzake 19 mwanzoni mwa dhuluma ya kaisari Diokletian [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Pengine anaongezewa Viktoria kama dada na mfiadini mwenzake.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 17 Novemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.