Audactus wa Karthago
Audactus wa Karthago (alifariki 303 hivi) alikuwa Mkristo aliyeuawa mjini Karthago (leo nchini Tunisia) pamoja na askofu Felisi wa Thibiuca, Fortunatus, Januarius na Septimus katika dhuluma ya kaisari Diokletian wa Dola la Roma, kwa kukataa amri ya kukabidhi vitabu vitakatifu vya Ukristo.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake na ya wenzake huadhimishwa tarehe 24 Oktoba[1].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |