Austria Juu
Austria ya Juu (Kijerumani: Oberösterreich) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 1.411.606 kwenye eneo la 11.982 km². Mji mkuu ni Linz. Waziri mkuu ni Josef Pühringer (ÖVP).

Mahali pa Austria Juu katika Austria
JiografiaEdit
Austria Chini imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Salzburg, Steiermark na Austria Chini.
Miji mikubwa ni pamoja na Linz na Wiener Neustadt.
Picha za Austria JuuEdit
Daraja la Linz
Tovuti za NjeEdit
Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Austria Juu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Austria Chini (Niederösterreich) • Austria Juu (Oberösterreich) • Burgenland • Karinthia (Kärnten) • Salzburg • Steiermark • Tirol • Vienna (Wien) • Vorarlberg |