Tirol (kwa Kijerumani pia: Tirol) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 757.634 kwenye eneo la km² 12.648.

Kiwanja cha ndege cha Innsbruck kilichopo ndani ya jimbo la Tirol

Mji mkuu ni Innsbruck.

Waziri mkuu ni Günther Platter (ÖVP).

Jiografia hariri

Jimbo la Tirol limepakana na nchi za Italia na Ujerumani na majimbo ya Vorarlberg, Kärnten na Salzburg.

Innsbruck ndio jiji kubwa tu lenye idadi ya wakazi zaidi ya 119,000.

Lech ndio mto muhimu wa Tirol.

Picha hariri

Tovuti za Nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


 
Majimbo ya Austria
 
Austria Chini (Niederösterreich)Austria Juu (Oberösterreich)BurgenlandKarinthia (Kärnten)SalzburgSteiermarkTirolVienna (Wien)Vorarlberg
  Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tirol (Austria) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.