Austria Chini
Austria ya Chini (kwa Kijerumani: Niederösterreich) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 1.608.590 kwenye eneo la km² 19.177.
Mji mkuu ni Sankt Pölten.
Waziri mkuu ni Johanna Mikl-Leitner (ÖVP).
Jiografia
haririAustria ya Chini imepakana na Ujerumani na majimbo ya Austria Juu, Steiermark, Burgenland na Vienna.
Miji mikubwa ni pamoja na Sankt Pölten na Wiener Neustadt.
Picha za Austria ya Chini
hariri-
Schneeberg
Tovuti za Nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Austria Chini (Niederösterreich) • Austria Juu (Oberösterreich) • Burgenland • Karinthia (Kärnten) • Salzburg • Steiermark • Tirol • Vienna (Wien) • Vorarlberg |
Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Austria Chini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |