Karinthia

Mahali pa Karinthia katika Austria
bendera ya Karinthia

Karinthia (Kijerumani: Kärnten, Kislovenia: Koroška, Kikroatia: Koruška) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 559.000 kwenye eneo la 9.364 km². Mji mkuu ni Klagenfurt am Wörthersee. Waziri mkuu ni Peter Kaiser (SPÖ).

JiografiaEdit

Karinthia imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Tirol, Salzburg na Steiermark.

Miji mikubwa ni pamoja na Klagenfurt na Villach.

Drava na Gurk ni mito muhimu zaidi.

Picha za KarinthiaEdit

Tovuti za NjeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Karinthia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Wikimedia Commons ina media kuhusu:


 
Majimbo ya Austria
 
Austria Chini (Niederösterreich)Austria Juu (Oberösterreich)BurgenlandKarinthia (Kärnten)SalzburgSteiermarkTirolVienna (Wien)Vorarlberg