Bakaye Dibassy
Bakaye Dibassy (alizaliwa 11 Agosti 1989) ni mchezaji wa soka ambaye anacheza katika klabu ya Amiens na timu ya taifa ya Mali.
Bakaye Dibassy
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Ufaransa |
Tarehe ya kuzaliwa | 11 Agosti 1989 |
Mahali alipozaliwa | Paris |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kifaransa |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Beki |
Mwanachama wa timu ya michezo | Olympique Noisy-le-Sec |
Mchezo | mpira wa miguu |
Kazi ya kimataifa
haririDibassy alizaliwa nchini Ufaransa na ni mchezaji mwenye asili ya Mali.
Dibassy alicheza mechi yake katika timu ya soka ya taifa ya Mali katika kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA na kufungwa 6-0 mwaka 2018 na timu ya taifa ya Morocco mnamo 1 Septemba 2017.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bakaye Dibassy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |