Bakus (Kigiriki Βάκχος bak-khos, Kilatini pia Bacchus) alikuwa askari Mkristo wa Dola la Roma aliyefia dini yake mwanzoni mwa karne ya 4 huko Syria[1] .

Sehemu ya picha takatifu ya karne ya 7 ya Wat. Sergius na Bakus.
Wafiadini Sergius na Bakus katika Menologion ya Basili II.

Kwa sababu hiyo tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Makanisa ya Kiorthodoksi na ya Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu[2].

Sikukuu yake inaadhimishwa 7 Oktoba pamoja na rafiki yake Sergius Mtakatifu[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. الشهيدان سركيس وباخوس Archived 15 Septemba 2017 at the Wayback Machine.، مطرانية حلب للسريان الأرثوذكس، 30 نوفمبر 2011.
  2. Woods, David (2000). "The Origin of the Cult of SS. Sergius and Bacchus". From The Military Martyrs. Retrieved June 25, 2009.
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo hariri

  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993. ISBN 0-14-051312-4.
  • E. Key Fowden, The Barbarian Plain: Saint Sergius between Rome and Iran, The Transformation of the Classical Heritage 28 (Berkeley, 1999).
  • D. Woods, 'The Emperor Julian and the Passion of Sergius and Bacchus', Journal of Early Christian Studies 5 (1997), 335–67.

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.