Balbina wa Roma (alifariki Roma, 130 hivi) alikuwa mwanamke wa Roma ya Kale anayeheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mengi kama mtakatifu mwenye sifa za bikira na mfiadini.[1].

Sanamu yake ni mojawapo kati ya 140 zilizopo juu ya nguzo zinazozunguka uwanja wa Mt. Petro, Vatikano.
Basilika la Mt. Balbina mjini Roma.

Baba yake pia, askari Kwirino wa Roma, alifia dini na anaheshimiwa kama mtakatifu[2][3], hasa tarehe 30 Aprili.

Sikukuu ya Balbina huadhimishwa tarehe 31 Machi[4]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. (acta SS., Maii, I, 367 sqq.)
  2. (Dufourcq, loc. cit., 175)
  3. "Den katolske kirke — Den hellige Balbina av Roma ( -~130)". Katolsk.no. Iliwekwa mnamo 1 December 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.