Bangili ya Warangi

Bangili ya Warangi ni aina ya pambo la kuvaa mkononi. Kwa Kirangi huitwa "ikéénke". Pambo hilo lilivaliwa hasa na akina Baba. Linatengenezwa kutokana na madini ya shaba nyekundu iliyopatikana katika mojawapo ya milima ya Haubi.[1][2]

Bangili ya Warangi ilivyochorwa na Ndg. Yovin Maingu kutoka Haubi, Wilaya ya Kondoa.

Tanbihi

hariri
  1. "Cycling Champion, Author and Cancer Survivor Lance Armstrong to Keynote Americas' SAP Users' Group Annual Conference - MarketWatch". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 Mei 2012. Iliwekwa mnamo 28 Mei 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Mulligan, Sean. "Custom Rubber Bracelets". Iliwekwa mnamo 24 Oktoba 2007.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Marejeo

hariri
  • Yovin Maingu na Brunhilde Bossow, 2006 "Mazingira ya Warangi na Wajerumani wa Kale", Kutolewa na Heimat- und Kulturverein Gellersen (Shirika la Historia na Utamaduni za Vijiji vya Gellersen, Ujerumani)
Vifaa vya Warangi
bangilibaragumuchombo cha kukamuliachombo cha tumbakuchungujembe - kibuyu kidogokibuyu kikubwakihorikinukipekecho - kirindokisungomasagiosandukushikilioshokatunguupawa

  Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bangili ya Warangi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.