Sagio la Warangi
Sagio la Warangi ni aina ya kifaa kilichotengezwa kutokana na mawe. Kwa Kirangi huitwa "lwaala". Sagio lilitumika kwa kusagia nafaka ili kupata unga. Sagio la asili lilikuwa la mviringo.
Marejeo
hariri- Yovin Maingu na Brunhilde Bossow, 2006 "Mazingira ya Warangi na Wajerumani wa Kale", Kutolewa na Heimat- und Kulturverein Gellersen (Shirika la Historia na Utamaduni za Vijiji vya Gellersen, Ujerumani)
Vifaa vya Warangi | |
---|---|
bangili – baragumu – chombo cha kukamulia – chombo cha tumbaku – chungu – jembe - kibuyu kidogo – kibuyu kikubwa – kihori – kinu – kipekecho - kirindo – kisu – ngoma – sagio – sanduku– shikilio – shoka – tungu – upawa
|
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sagio la Warangi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |