Kisu cha Warangi ni kifaa cha chuma. Kwa Kirangi huitwa "lʉfyo" kwa jumla, au kama ni maalum, huitwa “nyaasʉka”. Kisu cha Warangi kilikuwa na makali pande mbili. Fimbo au mkono wake ulikuwa wa pembe ya tembo au ng’ombe. Kilitumika kwa kukatia, kuchunia, kunyolea, kutahiria na kadhalika.

Kisu kilivyochorwa na Ndg. Yovin Maingu kutoka Haubi, Wilaya ya Kondoa.

Marejeo hariri

  • Yovin Maingu na Brunhilde Bossow, 2006 "Mazingira ya Warangi na Wajerumani wa Kale", Kutolewa na Heimat- und Kulturverein Gellersen (Shirika la Historia na Utamaduni za Vijiji vya Gellersen, Ujerumani)
Vifaa vya Warangi
bangilibaragumuchombo cha kukamuliachombo cha tumbakuchungujembe - kibuyu kidogokibuyu kikubwakihorikinukipekecho - kirindokisungomasagiosandukushikilioshokatunguupawa

  Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisu cha Warangi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.