Kirindo cha Warangi
Kirindo cha Warangi ni aina ya ghala ya nafaka. Kwa Kirangi huitwa "kɨome". Chombo hicho kilikuwa hutengenezwa na magome ya miti, na kilitumika hasa kuhifadhi nafaka na mazao mengineyo.
Marejeo
hariri- Yovin Maingu na Brunhilde Bossow, 2006 "Mazingira ya Warangi na Wajerumani wa Kale", Kutolewa na Heimat- und Kulturverein Gellersen (Shirika la Historia na Utamaduni za Vijiji vya Gellersen, Ujerumani)
Vifaa vya Warangi | |
---|---|
bangili – baragumu – chombo cha kukamulia – chombo cha tumbaku – chungu – jembe - kibuyu kidogo – kibuyu kikubwa – kihori – kinu – kipekecho - kirindo – kisu – ngoma – sagio – sanduku– shikilio – shoka – tungu – upawa
|