Shikilio la Warangi

Shikilio la Warangi ni mti uliokaa panda. Kwa Kirangi huitwa "ntambarɨko". Mti huo ulitumika kwa kubana chungu (yaani kukizuia) wakati wa kupika chakula. Suruali zilipoingia Urangini Warangi waliziita pia “ntambarɨko”, yaani nguo iliyokaa panda.

Shikilio la Warangi lilivyochorwa na Ndg. Yovin Maingu kutoka Haubi, Wilaya ya Kondoa.

Ilikuwa mwiko kumchokoza mama akiwa jikoni, na mwanamume akipigwa kwa mti huo basi ilikuwa ni balaa fulani, kwa hiyo ilikuwa kama mume huyo amepoteza haki yake hata kupeleka mashitaka mahakamani.

Marejeo

hariri
  • Yovin Maingu na Brunhilde Bossow, 2006 "Mazingira ya Warangi na Wajerumani wa Kale", Kutolewa na Heimat- und Kulturverein Gellersen (Shirika la Historia na Utamaduni za Vijiji vya Gellersen, Ujerumani)
Vifaa vya Warangi
bangilibaragumuchombo cha kukamuliachombo cha tumbakuchungujembe - kibuyu kidogokibuyu kikubwakihorikinukipekecho - kirindokisungomasagiosandukushikilioshokatunguupawa

  Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shikilio la Warangi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.