Barsanufi wa Gaza (au wa Palestina; alifariki 540 hivi) alikuwa mkaapweke kutoka Misri maarufu kwa uadilifu wake na kwa ubora wa sala yake[1].

Sanamu ya Mt. Barsanufi huko Oria.

Ingawa alijitenga kabisa na watu aliandika barua nyingi kuwapa ushauri; kati yake 800 zimetufikia.[2]

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki, Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa hasa tarehe 6 Februari au 11 Aprili[3].

Tanbihi

hariri
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/91654
  2. Barsanuphius and John Letters, translated by John Chryssavgis Catholic University of America Press (2002)
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.