Basa na wanae Teogni, Agapi na Pisto (walifariki 310 hivi) walikuwa Wakristo walioteswa na kuuawa chini ya kaisari Masimiani kwa ajili ya imani yao.

Picha takatifu ya Serbia katika Gračanica Monastery, 1318.

Inasemekana mama aliuawa katika kisiwa cha Alone, wanae huko Edessa ya Ugiriki [1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi[2] kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 21 Agosti[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/67090
  2. Srpski pravoslavni kalendar. N.P. Ivkov. 1972. uk. 23.
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.