Benjamin Pavard
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
Benjamin Jacques Marcel Pavard (alizaliwa 28 Machi 1996) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Ufaransa. Yeye huchezeshwa hasa kama beki wa kati lakini pia anaweza kucheza kama beki wa kulia.
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Ufaransa |
Nchi anayoitumikia | Ufaransa |
Jina katika lugha mama | Benjamin Pavard |
Jina la kuzaliwa | Benjamin Jacques Marcel Pavard |
Jina halisi | Benjamin |
Jina la familia | Pavard |
Tarehe ya kuzaliwa | 28 Machi 1996 |
Mahali alipozaliwa | Maubeuge |
Lugha ya asili | Kifaransa |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kifaransa |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | full-back |
Muda wa kazi | 2014 |
Mwanachama wa timu ya michezo | Internazionale Milano |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 55 |
Ameshiriki | Kombe la Dunia la FIFA 2018, UEFA Euro 2020, Kombe la Dunia la FIFA 2022 |
Ligi | 2. Bundesliga, Bundesliga, Seria A |
Tuzo iliyopokelewa | Knight of the Legion of Honour |
Alianza kazi yake na klabu ya Lille ya Ufaransa na baadae 2016 kuhamishiwa VfB Stuttgart ya Ujerumani. Mnamo Januari 2019 alikubali kuhamia Bayern Munich kwa mkataba wa miaka mitano hadi juni 2024.
Kimataifa aliisaidia nchi yake ya Ufaransa kushinda Kombe la Dunia la 2018, Yeye ndiye mchezaji aliyefunga goli bora zaidi katika michuano hiyo.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Benjamin Pavard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |