Best of 2Pac
Best of 2Pac ni albamu vibao vikali vilivyotolewa baada ya kufa kwa msanii wa muziki wa hip hop Tupac Shakur. Kompilesheni hii imetolewa katika sehemu mbili: Thug na Life. Albamu zote mbili zilitolewa mnamo tar. 4 Desemba katika mwaka wa 2007 huko nchini Marekani na 10 Desemba 2007 nchini Uingereza, ikaja kuvuja mnamo tar. 30 Novemba. Kwa mwezi wa Mei 2008, zaidi ya nakala 121,000 za Thug zimeuzwa nchini Marekani, wakati Life imeuza zaidi ya nakala 90,550.
Best Of 2Pac | |||||
---|---|---|---|---|---|
Greatest hits ya 2Pac | |||||
Imerekodiwa | 4 Desemba 2007 | ||||
Aina | Hip-hop | ||||
Lebo | Amaru/Interscope/Death Row/UMG | ||||
Wendo wa albamu za 2Pac | |||||
|
Orodha ya nyimbo
haririBest Of 2Pac Part 1: Thug | ||
---|---|---|
Greatest hits ya 2Pac | ||
Urefu | 51:54 | |
Tahakiki za kitaalamu | ||
Thug
hariri- "2 of Amerikaz Most Wanted" (akishirikiana na Snoop Doggy Dogg)
- "California Love" (Original) (akishirikiana na Dr. Dre, Roger Troutman)
- "So Many Tears"
- "I Ain't Mad at Cha" (akishirikiana na Danny Boy)
- "How Do U Want It?" (akishirikiana na K-Ci na JoJo)
- "Trapped"
- "Changes" (akishirikiana na Talent)
- "Hail Mary" (akishirikiana na Outlawz)
- "Unconditional Love"
- "Dear Mama" (Remix) (akishirikiana na Anthony Hamilton)
- "Resist the Temptation" (akishirikiana na Amel Larrieux)
Best Of 2Pac Part 2: Life | ||
---|---|---|
Greatest hits ya 2Pac | ||
Urefu | 46:50 |
Life
hariri- "Definition of a Thug Nigga"
- "Still Ballin'" (Nitty Remix) (akishirikiana na Trick Daddy)
- "Until the End of Time" (RP Remix) (akishirikiana na Richard Page)
- "Never Call U Bitch Again" (akishirikiana na Tyrese)
- "They Don't Give a Fuck about Us" (akishirikiana na Outlawz)
- "Keep Ya Head Up"
- "Ghetto Gospel" (akishirikiana na Elton John)
- "Brenda's Got a Baby"
- "Thugz Mansion" (2Pac Original) (feat. J. Phoenix)
- "When I Get Free"
- "Dopefiend's Diner"
Nafasi za chati za albamu
haririMwaka | Albamu | Chati | ||
---|---|---|---|---|
Billboard 200 | Top R&B/Hip Hop Albums | Top Rap Albums | ||
2007 | The Best of 2Pac - Part 1: Thug | 65 | 13 | 6 |
2007 | The Best of 2Pac - Part 2: Life | 77 | 15 | 8 |
Viungo vya Nje
hariri- 2Pac Legacy (Official website)
- Tupac Amaru Shakur Foundation for the Arts
- [1]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu albamu za hip hop za miaka ya 2000 bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |