Billie Jean

"Billie Jean" ni wimbo wa dance-pop R&B wa msanii Michael Jackson. Wimbo huu ulitungwa na Jackson na kutayarishwa na Quincy Jones kwa ajili ya albamu yake ya sita Thriller (1982). Yenyewe haikupendwa na Jones, wimbo huu almanusura itolewe kwenye albamu baada ya yeye na Jackson kuwa na malumbano kadhaa.

“Billie Jean”
“Billie Jean” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Thriller
B-side "It's the Falling in Love" / "Can't Get Outta the Rain"
Imetolewa 2 Januari 1983
Muundo 7" single
Imerekodiwa 1982
Aina Dance-pop, R&B, Funk
Urefu 4:54
Studio Epic Records
Mtayarishaji Quincy Jones
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"The Girl Is Mine"
(1982)
"Billie Jean"
(1983)
"Beat It"
(1983)

Mashairi yaliyomo yanahusu maisha halisi ya binadamu, ambamo inazungumzia mwanamke mmoja mgonjwa wa kichaa anayedai kwamba Jackson amezaa naye watoto pacha.

Wimbo unajulikana sana kwa besi lake na staili ya sauti ya Jackson. Wimbo huu ulimwezesha Michael kuzidi kuwa maarufu hasa pale alipokuwa akiuimba moja kwa moja jukwaani akiutumia mtindo wa kucheza huku akirudi nyuma nyuma kwa kutumia miguu yake pasipo kuanguka. Kwa lugha ya Kiingereza mtindo huu unafahamika kama Moon Walker. Wachezaji wengi wa muziki duniani wanautumia mtindo huu wa dansi katika maonesho mbalimbali ya kimuziki majukwaani.

ChatiEdit

Chati (1983) Nafasi
iliyoshika
Austrian Singles Chart 2
French Singles Chart 45[1]
German Singles Chart 2[2]
Irish Singles Chart 1[3]
Italian Singles Chart 7[4]
Netherlands Singles Chart 4[5]
Norwegian Singles Chart 6[6]
Spanish Singles Chart 1[7]
Swedish Singles Chart 2[8]
Swiss Singles Chart 1[9]
UK Singles Chart 1
US Billboard Hot 100 1
US R&B Singles Chart 1
Chati (2009) Nafasi
iliyoshika
Australian Singles Chart 7[10]
Austrian Singles Chart 15
Danish Singles Chart 9[11]
Dutch Singles Chart 21[12]
Finnish Singles Chart 11[13]
Irish Singles Chart 11[14]
Italian Singles Chart 5[15]
New Zealand Singles Chart 15[16]
Norwegian Singles Chart 5[17]
Turkey Top 20 Chart 9[18]
UK Singles Chart 10[19]
U.S. Billboard Hot Digital Songs[20] 4

MatunukioEdit

Nchi Matunukio Mauzo
New Zealand Gold[21] 7,500

MaelezoEdit

  1. French Singles Chart Archives. lescharts.com. Iliwekwa mnamo 21 Februari 2009.
  2. German Singles Chart Archives. charts-surfer.de. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-07-02. Iliwekwa mnamo 24 Februari 2009.
  3. http://www.irishcharts.ie/search/placement
  4. Italian Singles Chart Archives. italiancharts.com. Iliwekwa mnamo 21 Februari 2009.
  5. Dutch Singles Chart Archives. dutchcharts.nl. Iliwekwa mnamo 21 Februari 2009.
  6. Norwegian Singles Chart Archives. norwegiancharts.com. Iliwekwa mnamo 21 Februari 2009.
  7. Spanish Singles Chart Archives. spanishcharts.com. Iliwekwa mnamo 21 Februari 2009.
  8. Swedish Singles Chart Archives. swedishcharts.com. Iliwekwa mnamo 21 Februari 2009.
  9. Swiss Singles Chart Archives. hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 21 Februari 2009.
  10. http://www.ariacharts.com.au/pages/charts_display.asp?chart=1U50
  11. Danish Singles Chart. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-02-26. Iliwekwa mnamo 2009-07-16.
  12. Dutch Singles Chart.
  13. Suomen virallinen lista
  14. Irish Singles Chart.
  15. Italian Singles Chart. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-03-09. Iliwekwa mnamo 2009-07-16.
  16. New Zealand Singles Chart.
  17. Norwegian Singles Chart.
  18. Billboard Türkiye Top 20 (Turkish). Billboard Türkiye (6 Julai 2009). Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-04-20. Iliwekwa mnamo 2009-07-06.
  19. Singles chart for 04/07/2009. Chart Stats. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-07-23. Iliwekwa mnamo 2 Julai 2009.
  20. Billboard Hot Digital Songs. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-07-04. Iliwekwa mnamo 2009-07-16.
  21. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 2009-07-16.

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Billie Jean kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.